Tanzania Emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kigoma

(KUWASA)
+255 710 152 200
info@kuwasa.go.tz

Bei za Huduma

Bei za huduma kama zilivyo pendekeza katika mchakato wa maboresho. Bei zinaonyesha bei ya sasa pamoja na makisio ya miaka ijayo.

Bei za Huduma (TZS)

Kundi la Wateja Bei ya Sasa (TZS) 2026/27 (TZS) 2027/28 (TZS) 2028/29 (TZS)
Majumbani 1,415 1,875 1,883 1,893
Taasisi (Institution) 1,700 2,253 2,263 2,275
Biashara (Commercial) 1,800 2,385 2,396 2,409
Viwanda (Industrial) 1,800 2,385 2,396 2,409
Vioski/Vituo vya Maji (Kiosk/Standpipe) 1,000 1,500 1,500 1,500
Malori ya Maji (Water Bowsers) 1,000 1,325 1,331 1,338

Ada za Maunganisho Mapya

Aina ya Mteja / Maelezo Tozo ya Sasa Maelezo ya Marejeleo
Maunganisho mapya (Makundi) 20% ya gharama zinazorejesheka Mfano wa tozo iliyopangwa; thamani ya wastani: 26,000

Kurejesha Huduma (Reconnection)

Aina ya Mteja Tozo ya Sasa (TZS) 2026/27 (TZS) 2027/28 (TZS) 2028/29 (TZS)
Majumbani 10,000 15,000 15,000 15,000
Taasisi 15,000 15,000 15,000 15,000
Biashara 15,000 15,000 15,000 15,000
Viwanda 15,000 15,000 15,000 15,000
Vioski vya Maji 10,000 15,000 15,000 15,000

MAJI TAKA

Aina ya Huduma Tozo ya Sasa (TZS) 2026/27 (TZS) 2027/28 (TZS) 2028/29 (TZS)
Uondoaji wa Majitaka ya Maji Taka (Cesspit Emptying) 107,800 107,800 107,800 107,800
Utupaji wa Tope la Majitaka (Faecal Sludge Disposal) 21,500 21,500 21,500 21,500

Muhimu

Bei hizi ni kama zilivyo pendekezwa na zinaweza kubadilika kulingana na maamuzi ya EWURA. Wasiliana nasi kwa uthibitisho wa bei za sasa.